Maktaba ya Kila Siku: June 14, 2025

Rais Dkt, Samia Suluhu Hassan akikagua barabara Dodoma

Rais Dkt, Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofauti tofauti ya picha alipotembelea na kukagua Mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Mzunguko wa Nje Dodoma (Outer Ring Road) yenye urefu wa Km 112.3 kutoka Mtumba – Veyula – Msalato wakati wa ziara yake Mkoani humo leo Juni 14,2025.

Soma zaidi »

SAUTI MPYA YA UZALENDO, “SISI NI TANZANIA!”

🎬 Hakika, huu si muda wa kukaa kimya – ni wakati wa kusimama, kusema na kutenda. Sisi si watazamaji, SISI NI TANZANIA! 🇹🇿 🔔 Bonyeza Subscribe, Like, na Share ili ujumbe huu uwafikie vijana wote wa Tanzania! 👇 Tuambie kwenye comment: Wewe kama kijana, unalijengeaje taifa lako? #SisiNiTanzania #VijanaNaMaendeleo #MatokeoChanyA …

Soma zaidi »

MHE. RAIS DKT. SAMIA AKITEMBELEA BARABARA YA MZUNGUKO DODOMA (KM 112.3) NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akitembelea Barabara ya Mzunguko Dodoma (Km. 112.3) na Kuzungumza na Wananchi, leo tarehe 14 Juni, 2025. #section4wakilitv #bunge #ijuesheria #section4wakilitv #bunge #bungenidodoma #chadema #chademamedia #tls #tundulissu #tls #mwabukusi #uchaguzimkuu2025 #uchaguzi #uchaguzimkuu

Soma zaidi »

🅻🅸🆅🅴 RAIS DKT. SAMIA AKITEMBELEA BARABARA YA MZUNGUKO DODOMA (KM 112.3) NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI

Barabara ya Mzunguko ya Dodoma kuitwa Barabara ya Dkt. Akinwumi Adesina

Katika kutambua mchango mkubwa wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika katika utekelezaji wa miradi hiyo na katika kuchangia maendeleo ya miundombinu nchini Tanzania, Rais Dkt. Samia ameridhia pendekezo la Wizara ya Ujenzi la kuipa jina barabara hiyo ya mzunguko wa nje wa Dodoma la “Barabara ya Dkt. Akinwumi …

Soma zaidi »

RAIS MSTAAFU DKT JAKAYA MRISHO KIKWETE AMPONGEZA RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN KWA KUKAMISHA MIRADI

RAIS MSTAAFU DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE AMPONGEZA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN KWA UKAMILISHAJI WA MIRADI MIKUBWA YA MAENDELEO Rais mstaafu wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ametoa pongezi za dhati kwa Rais wa awamu ya sita, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa …