KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA RASMI DAR ES SALAAM

Kampeni hii inalenga kutoa elimu na huduma za msaada wa kisheria kwa wananchi wote, makundi yenye uhitaji kama wanawake, vijana, wazee, na watu wenye ulemavu.

#MatokeochanyA #KaziNaUtuTunasongaMbele #MSLAC

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *