Maktaba ya Kila Siku: June 29, 2025

TAKUKURU: BIASHARA YA DAWA ZA KULEVYA INAPITA PENYE RUSHWA, RUSHWA IKIDHIBITIWA TZ INAKUWA SALAMA

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) ni mdau muhimu katika mapambano dhidi ya dawa za kulevya nchini, hasa inapohusiana na kushughulikia mianya ya rushwa inayochochea biashara hiyo haramu. TAKUKURU imekuwa kiungo muhimu katika kuhakikisha kila mtumishi wa umma anayetakiwa kutekeleza wajibu wa kudhibiti dawa za kulevya anafanya hivyo …

Soma zaidi »

MKEMIA MKUU WA SERIKALI NDIYE SHAHIDI MKUU WA KITAALAMU KATIKA KESI ZINAZOHUSISHA DAWA ZA KULEVYA

Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA) imeendelea kuwa mhimili mkuu katika mapambano dhidi ya dawa za kulevya nchini kwa kutoa ushahidi wa kitaalamu wa kisayansi unaotumika mahakamani kuhakikisha haki inatendeka. Kupitia maabara zake za kisasa, GCLA hupokea na kuchunguza sampuli zote za dawa za kulevya zinazokamatwa katika …

Soma zaidi »

UHAMIAJI NA DCEA HUSHIRIKIANA KWA ULINZI WA MIPAKA NA VIPENYO VYA DAWA ZA KULEVYA

Idara ya Uhamiaji ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imejikita kwa nguvu kubwa katika kuzuia mianya yote inayoweza kutumiwa na wasafirishaji wa dawa za kulevya kuingia au kutoka nchini. Kwa kushirikiana kwa karibu na Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Idara hii imeongeza ulinzi na ufuatiliaji …

Soma zaidi »