Maktaba ya Kila Siku: June 13, 2025

Kaulimbiu ya Maadhimisho hayo kimataifa ni ‘Kudai Haki Zetu, Kulinda Ngozi Zetu, Hifadhi Maisha Yetu’.

Aidha, Kitaifa, kaulimbiu ya Maadhimisho hayo ni: “Ushiriki katika Uchaguzi ni Haki Yetu: Kuchagua na Kuchaguliwa, Linda Haki za Watu Wenye Ualbino.”

Soma zaidi »

GAWIO HILI LINAENDA KUPUNGUZA UTEGEMEZI – RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN

Katika hotuba yake yenye msisitizo mkubwa wa maendeleo na uwajibikaji, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameeleza kwa kina jinsi gawio kutoka kwenye mashirika ya umma linavyokwenda kupunguza utegemezi wa bajeti kutoka kwa wahisani na kuimarisha uchumi wa ndani. Tazama ujumbe huu muhimu unaogusa …

Soma zaidi »