Walikuwa wakiteta kabla ya kufunga Mafunzo ya Maafisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Jeshi la Polisi Tanzania katika sherehe zilizofanyika katika Chuo cha Taaluma ya Polisi kilichopo Kurasini Jijini Dar.
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: June 9, 2025
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amezitaka Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, pamoja na Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kushirikiana kikamilifu katika kukamilisha mradi wa ujenzi wa shule 56 za kuendeleza vipaji vya michezo.
KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA MSLAC KUENDELEA JUNI 16, 2025 — MAANDALIZI YA UZINDUZI MKOANI DAR ES SALAAM
Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya MSLAC (Mainland Social Legal Aid Campaign) ni mpango maalum wa kitaifa unaolenga kuimarisha upatikanaji wa haki kwa wananchi, hususan wale wa kipato cha chini, kupitia utoaji wa msaada wa kisheria bure, elimu ya haki za binadamu, na uhamasishaji juu ya mifumo ya sheria inayotumika …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+