SERIKALI KUTOA RUZUKU KWA WAFUGAJI

Rais, Mhe. Dkt. Samia Suluhu ameeleza kuwa Serikali itagharamia 100% chanjo ya Kuku, uwekaji hereni na 50% ya gharama ya chanjo ya wanyama wengine

#MatokeochanyA #KaziNaUtuTunasongaMbele #ZiaraYaRaisSimiyu #OKTOBATUNATIKI

Unaweza kuangalia pia

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameiagiza Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) kuendeleza juhudi za kutafuta masoko ya nje ili kuongeza mauzo yatakayowezesha nchi kupata fedha za Kigeni.

Amesema kuwa TanTrade inapaswa kufanya tafiti za uhakika na uchambuzi wa masoko ambayo bidhaa za …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *