Maktaba ya Kila Siku: June 27, 2025
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. John Emmanuel Nchimbi akizungumza jambo na Mwandishi mkongwe, Mwenyekiti Mstaafu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF),Ndugu Absalom Kibanda akiwa ofisini kwake, Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma, leo Ijumaa , tarehe 27,Juni 2025
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amepongeza uwepo wa kituo cha Umahiri cha Matibabu cha Afrika (AMCE) ambacho amesema kitakua mfano kwa bara la Afrika na kusaidia kuokoa gharama kupeleka wagonjwa nje ya bara hilo
Makamu wa Rais amesema hayo alipotembelea Kituo cha Umahiri cha Matibabu ya Kibingwa cha Afrika kilichopo Abuja nchini Nigeria. Amesema kituo hicho kitasaidia kuhamisha maarifa na hivyo kuwezesha wazawa kuweza kutoa huduma za afya endelevu kwa wananchi wa Afrika. Amewapongeza wataalamu ambao walihudumu katika hospitali mbalimbali nje ya Afrika kwa …
Soma zaidi »🔴 LIVE: RAIS SAMIA KUHUTUBIA BUNGE LEO JIJINI DODOMA
📍DODOMA | Juni 26, 2025 🔴 LIVE: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, anahutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania moja kwa moja kutoka Jijini Dodoma. Katika hotuba hii muhimu, Mhe. Rais Samia atazungumzia masuala ya kitaifa ikiwemo maendeleo ya kiuchumi, huduma za kijamii, …
Soma zaidi »🔴 LIVE: RAIS SAMIA KUHUTUBIA BUNGE LEO JIJINI DODOMA
📍DODOMA | Juni 26, 2025 🔴 LIVE: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, anahutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania moja kwa moja kutoka Jijini Dodoma. Katika hotuba hii muhimu, Mhe. Rais Samia atazungumzia masuala ya kitaifa ikiwemo maendeleo ya kiuchumi, huduma za kijamii, …
Soma zaidi »ESTHER MORRIS WA NAWEZA TENA AONGOZA MAPINDUZI CHANYA KWA DADA POA NA WARAIBU WA DAWA ZA KULEVYA
Mkurugenzi wa Shirika la Naweza Tena, Bi. Esther Morris, ameibuka kama sauti ya matumaini kwa wanawake waliokuwa wakijihusisha na biashara ya ukahaba na matumizi ya dawa za kulevya jijini Mwanza. Kupitia mradi wa kutoa Stadi za Maisha, shirika hilo limekuwa likiwasaidia Dada Poa na waraibu wa dawa za kulevya kuachana …
Soma zaidi »MCH. HANANJA ATOA WITO WA KITAIFA DHIDI YA DAWA ZA KULEVYA – TUIMARISHE KINGA, TUOKOE MAISHA
Mchungaji Richard Jackson Hananja ametoa wito kwa jamii na Serikali kuendelea kushirikiana kwa dhati katika mapambano dhidi ya matumizi na biashara ya dawa za kulevya, amesisitiza umuhimu wa kuwekeza zaidi katika hatua za kinga na tiba kwa waathirika. Pia, Mch. Hananja ameeleza kuwa Serikali ya awamu ya sita imefanya kazi …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+