Maktaba ya Mwezi: July 2025
MHE. RAIS DKT. SAMIA AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA KWALA MKOA PWANI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akizungumza na Wananchi wa Kwala Pwani, leo tarehe 31 Julai, 2025. #SGRTanzania #RaisSamia #MizigoKwaSGR #KwalaTerminal #MageuziYaUsafiri #TanzaniaInajengwa
Soma zaidi »MHE. RAIS DKT. SAMIA AKIZINDUA USAFIRISHAJI WA MIZIGO KWA SGR KWALA PWANI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameandika historia nyingine katika sekta ya usafirishaji nchini kwa kuzindua rasmi usafirishaji wa mizigo kupitia Reli ya Kisasa (SGR) kutoka Kwala, mkoani Pwani. Uzinduzi huu unaashiria mwanzo mpya wa mageuzi ya kimkakati katika usafiri wa mizigo nchini na …
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa bandari Kavu ya Kwalakesho tarehe 31 Julai 2025
Matukio katika picha: Maandalizi ya uzinduzi wa Bandari Kavu ya Kwala na uanzishaji wa huduma ya usafiri ya treni ya mizigo ya reli ya kisasa (SGR) kati ya Dar es Salaam na Dodoma, sambamba na upokeaji wa mabehewa mapya na yaliyokarabatiwa ya reli ya zamani(MGR)Kwala, mkoani Pwani.
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa Songea
Tayari kwa safari ya kueleke kwenye uzinduzi wa Kiwanda cha Majaribio cha Kuchenjua Urani cha Mantra Tanzania Limited kilichopo katika Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma, tarehe 30 Julai, 2025.
Soma zaidi »MHE. RAIS DKT. SAMIA AKIZINDUA KIWANDA CHA MAJARIBIO CHA UCHENJUAJI WA MADINI YA URANI, NAMTUMBO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akizundua Kiwanda cha Majaribio cha Uchenjuaji wa Madini ya Urani Namtumbo Ruvuma, leo tarehe 30 Julai, 2025.
Soma zaidi »#LIVE: KAMATI KUU YA CCM YAFANYA MAAMUZI MAZITO β MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE YATANGAZWA
Tazama mubashara kutoka Dodoma ambapo Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa inatangaza majina rasmi ya wagombea ubunge kuelekea uchaguzi mkuu. Huu ni wakati wa kusikiliza kwa makini, kufahamu mustakabali wa wawakilishi wetu, na kujua maamuzi ya chama tawala kuhusu safari ya uchaguzi. π Usikose taarifa za kina, majina …
Soma zaidi »MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA JIJINI DODOMA
Dodoma, 28 Julai 2025 β Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kilichofanyika leo katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya Chama, Jijini Dodoma. Kikao …
Soma zaidi »MHE. RAIS DKT. SAMIA AKISHIRIKI MKUTANO MKUU MAALUM WA CCM KWA MTANDAO WHITE HOUSE -DODOMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akishiriki Mkutano Mkuu Maalumy CCM kwa Njia ya Mtandao White house -Dodoma, leo tarehe 26 Julai, 2025
Soma zaidi »LIVE : MHE. RAIS DKT. SAMIA AKISHIRIKI UFUNGUZI WA KANISA LA ARISE & SHINE KAWE DAR ES SALAAM.
Tazama hotuba ya kihistoria ya Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, aliposhiriki na kuongoza Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa yaliyofanyika kitaifa katika uwanja wa Mashujaa, Mtumba β Dodoma. Katika hotuba hii, Rais Samia anatoa heshima kwa mashujaa waliopigania uhuru, amani na maendeleo ya Taifa, …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+