Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akifungua mradi wa Maji na Usafi wa Mazingira wa Lamadi, Wilayani Busega wakati akihitimisha ziara yake ya kikazi mkoani Simiyu tarehe 19 Juni, 2025 #MatokeochanyA #OKTOBATUNATIKI
Soma zaidi »HUYU NI RAIS MWENYE HURUMA NA ANAYEWAJALI WATANZANIA WOTE
#MatokeochanyA #KaziNaUtuTunasongaMbele #ZiaraYaRaisSimiyu #OKTOBATUNATIKI
Soma zaidi »Uzinduzi wa Kiwanda cha kuchakata pamba cha Meatu
Uzinduzi wa Kiwanda cha kuchakata pamba cha Biosustain Meatu kinaongeza thamani ya pamba, Kuongeza kipato cha wakulima, Kutengeneza ajira, Kuimarisha kilimo endelevu, Kupunguza umasikini na kulinda mazingira. Pia Kinaendeleza sekta ya pamba kwa kutoa mafunzo na mbegu bora.
Soma zaidi »SERIKALI KUTOA RUZUKU KWA WAFUGAJI
Rais, Mhe. Dkt. Samia Suluhu ameeleza kuwa Serikali itagharamia 100% chanjo ya Kuku, uwekaji hereni na 50% ya gharama ya chanjo ya wanyama wengine #MatokeochanyA #KaziNaUtuTunasongaMbele #ZiaraYaRaisSimiyu #OKTOBATUNATIKI
Soma zaidi »SEKONDARI YA WASICHANA SIMIYU – BARIADI YAZINDULIWA
Rais, Mhe. Dkt. Samia Suluhu akifungua shule ya Sekondari ya Wasichana Simiyu iliyopo Bariadi mkoani humo tarehe 16 Juni, 2025. #MatokeochanyA #KaziNaUtuTunasongaMbele #ZiaraYaRaisSimiyu #OKTOBATUNATIKI
Soma zaidi »JENGO LA OFISI YA MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MJI BARIADI LAZINDULIWA
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu afungua Jengo la Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Miji Bariadi, Simiyu tarehe 16 Juni, 2025. #MatokeochanyA #KaziNaUtuTunasongaMbele #ZiaraYaRaisSimiyu #OKTOBATUNATIKI
Soma zaidi »JENGO LA MKUU WA MKOA LAZINDULIWA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu azindua Jengo la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Simiyu lililopo Bariadi tarehe 16 Juni, 2025. #MatokeochanyA #KaziNaUtuTunasongaMbele #ZiaraYaRaisSimiyu #oktobatunatiki
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu akifungua Jengo la Ofisi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Simiyu lililopo Bariadi tarehe 16 Juni, 2025
JENGO LA TRA SIMIYU LAZINDULIWA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akifungua Jengo la Ofisi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Simiyu lililopo Bariadi. #MatokeochanyA #KaziNaUtuTunasongaMbele #ZiaraYaRaisSimiyu #OKTOBATUNATIKI
Soma zaidi »KIWANDA CHA UCHAKATAJI WA PAMBA – SIMIYU
Muonekano wa Kiwanja cha MOLI Oil Mills Co. Ltd kiwanda cha utengenezaji wa mabomba ya maji na uchakataji wa pamba kilichopo Bariadi mkoani Simiyu tarehe 16/06/25 #MatokeochanyA #KaziNaUtuTunasongaMbele #ZiaraYaRaisSimiyu #OKTOBATUNATIKI
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+