Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikutana na kuzungumza na Sungusungu Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza, leo tarehe 20 Juni, 2025 🔔 Usisahau kusubscribe, kupenda (like), na kushirikisha video hii kwa wengine. Tanzania ya Viwanda na Maendeleo Inawezekana! #RaisSamia #MradiWaMajiButimba #MaendeleoKwaWote #SamiaSuluhu #MajiNiUhai #TanzaniaYaMapinduzi
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: June 20, 2025
MHE RAIS. DKT, SAMIA SULUHU HASSAN AFUNGUA MRADI MKUBWA WA MAJI BUTIMBA
tarehe 20 Juni, 2025, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefungua rasmi Mradi wa Maji wa Butimba jijini Mwanza na kuzungumza moja kwa moja na wananchi waliokusanyika kwa shangwe na matumaini makubwa. Mradi huu wa kimkakati unalenga kuboresha upatikanaji wa maji safi na salama …
Soma zaidi »MHE RAIS. DKT, SAMIA SULUHU HASSAN AFUNGUA MRADI MKUBWA WA MAJI BUTIMBA
tarehe 20 Juni, 2025, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefungua rasmi Mradi wa Maji wa Butimba jijini Mwanza na kuzungumza moja kwa moja na wananchi waliokusanyika kwa shangwe na matumaini makubwa. Mradi huu wa kimkakati unalenga kuboresha upatikanaji wa maji safi na salama …
Soma zaidi »MHE. RAIS SAMIA NA MCHANGO WAKE KWENYE SHULE ZA AMALI , AHIMIZA WANAFUNZI KUJIBIDISHA
“Hatufunzi tu kwa darasani, tunajenga kizazi cha wabunifu na wachapakazi. Tanzania mpya ni ya vijana wenye ujuzi.” — Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+