Maktaba ya Mwezi: February 2025
WATOTO WA MUHEZA WAWAIGIZA VIONGOZI WA AWAMU ZOTE TANZANIA.
WAKAZI WA WILAYA YA LUSHOTO WAFURAHISHWA NA UJIO WA MHE. RAIS, WAAHIDI KUMPIGIA KURA OCTOBA 2025.
Wakazi hao wameeleza hayo kutokana na kuridhishwa na utekelezwaji wa miradi ya maji, barabara, afya, kilimo na ujenzi wa jengo la utawala ya Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli ambalo litatumika kutoa huduma kwa wananchi.Pia, vijana wa Lushoto wanatarajia/waliotimiza miaka 18 wamewasihi vijana wenzao katika maeneo mbalimbali nchini kujiandikisha kwenye daftari …
Soma zaidi »RAIS DKT. SAMIA AZINDUA HOSPITALI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA HANDENI, WANANCHI WAPONGEZA.
Leo Februari 23, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amezindua Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Handeni, iliyopo Mkata-Mbweni, mkoani Tanga. Hospitali hii inajumuisha majengo 15, ikiwa ni pamoja na wodi za wanawake, wanaume, na watoto, jengo la wagonjwa wa nje (OPD), maabara, jengo la …
Soma zaidi »RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AZUNGUMZA NA WANANCHI WA HANDENI, AHIMIZA MAENDELEO NA UMOJA.
Handeni, Tanga –Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezungumza na wananchi wa Handeni katika ziara yake ya kikazi, akisisitiza dhamira ya Serikali kuendelea kuleta maendeleo kwa wananchi kwa kuwekeza katika miundombinu, huduma za kijamii na ustawi wa uchumi. Katika hotuba yake, Mhe. Rais aliwahakikishia …
Soma zaidi »WANANCHI WA HANDENI WAAHIDI KUMCHAGUA DKT. SAMIA SULUHU HASSAN 2025.
Mkuu wa Wilaya ya Handeni Wakili Albert Msando amemkaribisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Wilayani humo, akizungumza katika moja ya Miradi itakayotembelewa hivi karibuni, amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya mambo mengi katika kuwaletea wananchi maendeleo. Wakizungumza kwa nyakati tofauti wananchi wa Wilaya Handeni hususan eneo la …
Soma zaidi »KAHAWA YA TANZANIA.
Uzalishaji wa Kahawa Nchini Tanzania Tanzania inajulikana kwa uzalishaji wa aina mbili kuu za kahawa: Arabica – inayochangia takriban 60.9% ya uzalishaji Robusta – inayochangia takriban 39.1% Nchi hii inashikilia nafasi ya nne kati ya nchi 25 zinazozalisha kahawa barani Afrika, na inachangia kwa kiasi kikubwa katika soko la kimataifa. …
Soma zaidi »KABLA YA BISMACK ROCK LILIITWA BARAKA STONE.
Mwanza Historia: Kabla ya Bismack Rock, Liliitwa Baraka Stone Jiwe maarufu la Mwanza, linalojulikana leo kama Bismarck Rock, lilikuwa na jina la awali Baraka Stone. Katika video hii, tunachunguza historia ya kuvutia ya jiwe hili, umuhimu wake kwa wenyeji wa Mwanza, na jinsi lilivyopata jina lake la sasa. Kutoka kwenye …
Soma zaidi »HISTORIA YA ZIWA SINGIDANI NA FURSA ZA KIUCHUMI KWA JAMII INAYO LIZUNGUKA.
Karibu katika safari ya kuvutia kuelekea Ziwa Singidani, moja ya maziwa maarufu mkoani Singida! Katika video hii, tunachunguza historia ya Ziwa Singidani, hadithi zake za kale, na umuhimu wake kwa jamii inayolizunguka.Pia, tunajadili fursa za kiuchumi zinazopatikana kwa wakazi wa maeneo ya jirani, zikiwemo:Uvuvi na biashara ya samaki,Utalii wa mazingira …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+