MKOA WA MWANZA

RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA WANANCHI BAADA YA KUFUNGUA DARAJA LA JP MAGUFULI (KIGONGO–BUSISI)

Mwanza, 19 Juni 2025 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezungumza na wananchi katika viwanja vya Chuo cha Ufundi Kalwande, jijini Mwanza, mara baada ya kuzindua rasmi Daraja la JP Magufuli (Kigongo–Busisi) lenye urefu wa kilomita 3.0. Katika hotuba yake, Rais Samia amepongeza …

Soma zaidi »

RAIS SAMIA ASISITIZA MAENDELEO SHIRIKISHI BUSIGA – ASHIRIKISHA WANANCHI KATIKA UTEKELEZAJI WA KATIBA

Katika hotuba yake kwa Wananchi wa Wilaya ya Busega, Mkoa wa Simiyu tarehe 19 Juni 2025, Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, alitekeleza moja ya wajibu wake wa kikatiba chini ya Ibara ya 33(2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka …

Soma zaidi »

KABLA YA BISMACK ROCK LILIITWA BARAKA STONE.

Mwanza Historia: Kabla ya Bismack Rock, Liliitwa Baraka Stone Jiwe maarufu la Mwanza, linalojulikana leo kama Bismarck Rock, lilikuwa na jina la awali Baraka Stone. Katika video hii, tunachunguza historia ya kuvutia ya jiwe hili, umuhimu wake kwa wenyeji wa Mwanza, na jinsi lilivyopata jina lake la sasa. Kutoka kwenye …

Soma zaidi »

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika uzinduzi wa ugawaji wa vizimba vya kufugia Samaki na Boti za Kisasa kwa ajili ya Wavuvi wa Kanda ya Ziwa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria uzinduzi wa ugawaji wa vizimba vya kufugia Samaki na Boti za Kisasa kwa ajili ya Wavuvi wa Kanda ya Ziwa kwenye hafla fupi iliyofanyika pembezoni mwa Ziwa Victoria (Bismarck Rock) Jijini. Boti na vizimba hivyo vimegaiwa …

Soma zaidi »

MAMA JANETH MAGUFULI AHUDHURIA MISA MAALUM YA KUMUENZI DKT JOHN MAGUFULI KANISA KATOLIKI LA KAWEKAMO JIJINI MWANZA

Mama Janeth Magufuli, mjane wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, akiwasili katika kanisa la Kawekamo jijini Mwanza kuhudhuria Misa Maalumu ya kumbukizi ya mwaka mmoja wa kifo cha marehemu mumewe leo Jumapili Machi 2022. Pamoja naye ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na …

Soma zaidi »