WANANCHI WA HANDENI WAAHIDI KUMCHAGUA DKT. SAMIA SULUHU HASSAN 2025.

Mkuu wa Wilaya ya Handeni Wakili Albert Msando amemkaribisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Wilayani humo, akizungumza katika moja ya Miradi itakayotembelewa hivi karibuni, amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya mambo mengi katika kuwaletea wananchi maendeleo.

Wakizungumza kwa nyakati tofauti wananchi wa Wilaya Handeni hususan eneo la Mkata wameishukuru Serikali ya awamu ya sita na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kujenga miradi ya maendeleo na kuahidi kumpa ushirikiano wa dhati ikiwemo kumchagua katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu ili aendelee kuwaongoza.

#DktSamiaTanga #TanganaSamia #SamiatheGamechanger

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *