HISTORIA YA ZIWA SINGIDANI NA FURSA ZA KIUCHUMI KWA JAMII INAYO LIZUNGUKA.

Karibu katika safari ya kuvutia kuelekea Ziwa Singidani, moja ya maziwa maarufu mkoani Singida! Katika video hii, tunachunguza historia ya Ziwa Singidani, hadithi zake za kale, na umuhimu wake kwa jamii inayolizunguka.Pia, tunajadili fursa za kiuchumi zinazopatikana kwa wakazi wa maeneo ya jirani, zikiwemo:Uvuvi na biashara ya samaki,Utalii wa mazingira na huduma za hoteli. Jiunge nasi kugundua mchango wa Ziwa Singidani katika maendeleo ya Singida na Tanzania kwa ujumla! Usisahau ku-like, ku-share, na ku-subscribe ili kuendelea kufuatilia maudhui bora zaidi

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *