Maktaba ya Kila Siku: February 27, 2025
MHE: DKT SAMIA AWAPATIA MITUNGI YA GESI WANANCHI WA MUHEZA.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezindua kampeni ya kutoa mitungi ya gesi kwa wananchi wa Muheza, ikiwa ni hatua muhimu katika kuimarisha matumizi ya nishati safi. Akizungumza katika hafla hiyo, Mhe. Rais alisisitiza umuhimu wa nishati safi katika kuboresha maisha ya wananchi na …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+