Maktaba ya Kila Siku: February 26, 2025

WAKAZI WA WILAYA YA LUSHOTO WAFURAHISHWA NA UJIO WA MHE. RAIS, WAAHIDI KUMPIGIA KURA OCTOBA 2025.

Wakazi hao wameeleza hayo kutokana na kuridhishwa na utekelezwaji wa miradi ya maji, barabara, afya, kilimo na ujenzi wa jengo la utawala ya Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli ambalo litatumika kutoa huduma kwa wananchi.Pia, vijana wa Lushoto wanatarajia/waliotimiza miaka 18 wamewasihi vijana wenzao katika maeneo mbalimbali nchini kujiandikisha kwenye daftari …

Soma zaidi »

RAIS DKT. SAMIA AZINDUA HOSPITALI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA HANDENI, WANANCHI WAPONGEZA.

Leo Februari 23, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amezindua Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Handeni, iliyopo Mkata-Mbweni, mkoani Tanga. Hospitali hii inajumuisha majengo 15, ikiwa ni pamoja na wodi za wanawake, wanaume, na watoto, jengo la wagonjwa wa nje (OPD), maabara, jengo la …

Soma zaidi »

RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AZUNGUMZA NA WANANCHI WA HANDENI, AHIMIZA MAENDELEO NA UMOJA.

Handeni, Tanga –Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezungumza na wananchi wa Handeni katika ziara yake ya kikazi, akisisitiza dhamira ya Serikali kuendelea kuleta maendeleo kwa wananchi kwa kuwekeza katika miundombinu, huduma za kijamii na ustawi wa uchumi. Katika hotuba yake, Mhe. Rais aliwahakikishia …

Soma zaidi »