Wakazi hao wameeleza hayo kutokana na kuridhishwa na utekelezwaji wa miradi ya maji, barabara, afya, kilimo na ujenzi wa jengo la utawala ya Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli ambalo litatumika kutoa huduma kwa wananchi.Pia, vijana wa Lushoto wanatarajia/waliotimiza miaka 18 wamewasihi vijana wenzao katika maeneo mbalimbali nchini kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la mpiga kura na kujitokeza kwa wingi kupiga kura kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwezi Octoba, 2025.Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 24.02 2024 ameendelea na ziara yake ya Kikazi Mkoani Tanga, ambapo amezitembelea Wilaya za Korongwe na Lushoto na kuzindua baadhi ya miradi ya maendeleo na kuzungumza na wananchi.
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+