Kilasiya ni maporomoko ya maji ya kipekee yaliyopewa jina la Kichaga lenye maana ya “kitu kisichoisha.” Maporomoko haya hayakauki hata wakati wa kiangazi, tofauti na maporomoko mengine manne ya Marangu. Kilasiya ilianzishwa mwaka 1991 na Libori George Mosha, Mkazi wa Marangu, kijiji cha Kyala, mkoani Kilimanjaro, kama mradi wa kutunza …
Soma zaidi »Maktaba ya Mwezi: February 2025
NEMC YAONYA WANANCHI KUACHA UCHAFUZI WA MAZINGIRA ILI KUDHIBITI ATHARI ZITOKANAZO NA MAFURIKO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia, Majaji, wageni waalikwa pamoja na wananchi kwa ujumla kwenye Maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini ambayo Kitaifa yamefanyika katika viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ashiriki Maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini ambayo Kitaifa yamefanyika katika viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma, tarehe 03 Februali, 2025
#MSLAC#Katibanasheria#SSH#CCM#KaziIendelee#Nchiyangukwanza#SisiniTanzania#matokeochanya @SSuluhuHassan
Soma zaidi »MANDHARI YA TANZANIA INANG’AA KATIKA “MUFASA: THE LION KING” – UBUNIFU WA DRONE ULIPIGWA NA MTANZANIA KAKA MUSSA UNALETA HADITHI TAMU YA AFRIKA:
Katika hatua ya kipekee ya kuonyesha uzuri wa mazingira ya Afrika, filamu ya kimataifa Mufasa: The Lion King imeleta mabadiliko makubwa katika jinsi hadithi ya kifalme ya simba inavyoonyeshwa. Mchanganyiko huu wa mandhari halisi na hadithi ya kusisimua unaleta uzuri wa Afrika, ukionyesha maeneo ya kipekee kutoka kwenye majangwa ya Namibia hadi …
Soma zaidi »Ushiriki wa Tanzania katika Utayarishaji wa Filamu ya Kimataifa
Mafanikio ya Mufasa: The Lion King yamepata uzito mkubwa kutokana na mchango wa wataalamu wa Tanzania. Mtayarishaji maarufu Mussa Ally Mbwego (Mussa Kaka) ameongeza umaarufu wa nchi yetu kupitia utumiaji wa teknolojia ya kisasa katika utayarishaji wa filamu. “Ni heshima kubwa kwangu kuwakilisha Tanzania katika mradi huu wa kimataifa, ambapo tunahakikisha kuwa …
Soma zaidi »Tanzania: Kituo cha Mazingira Bora na Utamaduni wa Filamu
Wakurugenzi na wasanii wa filamu wamepewa wito wa kuwa walinzi wa picha njema za Tanzania. Wamehimiza watayarishaji wa ndani kuendelea kushirikiana katika utayarishaji wa filamu za kigeni, hasa pale ambapo nchi yetu inapowakilishwa vibaya. “Tunapaswa kuwa waangalifu na kuhakikisha kwamba hadithi za Tanzania zinawakilishwa kwa uhalisia na uzuri wake wa …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+