Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Desemba 20, 2024 amezindua nyumba 109 za waathirika wa maafa ya maporomoko ya tope yaliyotokea Desemba mwaka jana katika kijiji cha Gendabi wilayani Hanang Mkoa wa Manyara

Pichani, Waziri Mkuu akizungumza na Brightina Francis wa kijiji cha Gendabi baada ya kuzindua nyumba hizo zilizojengwa katika kitongoji cha Waret wilayani humo

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *