Maktaba ya Kila Siku: December 4, 2024

Takwimu za Maendeleo ya Miundombinu ya Barabara Jijini Dar es Salaam

Jiji la Dar es Salaam limeendelea kushuhudia maendeleo makubwa katika ujenzi na uboreshaji wa miundombinu ya barabara ili kukidhi mahitaji ya wakazi wake wanaoongezeka kwa kasi. Serikali, kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) na Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), imekuwa ikitekeleza miradi mbalimbali ya ujenzi wa barabara …

Soma zaidi »

“WATANZANIA KUANZA KUNUFAIKA NA TIBA YA MAGONJWA ADIMU KUTOKA CUBA” – Balozi Hamfrey Polepole

Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Mhe. Hamfrey Polepole, ameeleza jinsi Watanzania watakavyonufaika na matibabu ya magonjwa adimu kutoka Cuba. Tayari dawa za magonjwa hayo zimewasili nchini na kusambazwa kwenye mojawapo ya hospitali. Mpango huu utaimarisha huduma za afya na kuhakikisha tiba za kisasa kwa magonjwa kama kansa na kisukari zinapatikana.

Soma zaidi »

AIR TANZANIA YAPATA IDHINI KUSAFIRISHA MIZIGO KATI YA DAR ES SALAAM NA GUANGZHOU, CHINA

Air Tanzania Company Limited (ATCL) imefanikiwa kupata idhini rasmi kutoka kwa mamlaka za usafiri wa anga za China kuanzisha huduma za usafirishaji wa mizigo kati ya Jiji la Dar es Salaam na Guangzhou, China. Hatua hii ni mafanikio makubwa kwa shirika la ndege la taifa, linaloendelea kupanua huduma zake kimataifa. …

Soma zaidi »

Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato, Hatua Kubwa za Ujenzi Kuelekea Mapinduzi ya Usafiri wa Anga Tanzania

Mradi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato, unaojengwa katika Kata ya Msalato, Wilaya ya Dodoma Mjini, Jiji la Dodoma, unatekelezwa kwa awamu mbili na unatarajiwa kugharimu zaidi ya shilingi bilioni 600 hadi kukamilika kwake. Ujenzi ulianza mwaka 2022, na awamu ya kwanza imegharimu shilingi bilioni 196. Mradi huu …

Soma zaidi »