Maktaba ya Kila Siku: December 5, 2024

SHEHE WA MKOA WA ARUSHA SHABAN JUMA ABDALAH: KULINDA MAZINGIRA NI MIONGONI MWA NEEMA ZA MUNGU KWETU

Nchi inaposhindwa kulinda Neema ya mazingira kwa ajili yetu na kizaji kijacho Mungu anaweza kuondosha Neema nyingine nyingi kwenye nchi. Ameahidi kumuunga mkono na yupo tayari kupokea maagizo yoyoyte ya Rais Mhe Samia Suluhu Hassan ya kulinda Mazingira.

Soma zaidi »

Askofu Dkt Maasa OleGabriel RAIS SAMIA ANATEKELEZA MAAGIZO YA MUNGU YA KUITUNZA BUSTANI YA EDENI

Askofu Dkt. Maasa OleGabriel Katibu Mkuu Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania na Askofu wa Jimbo wa Makanisa ya International Evangelisim Arusha – Ameeleza Jinsi ambavyo Kanisa linamuunga mkono Rais Samia Katika Utunzaji wa Mazingira kama agizo la Kwanza la Mungu kwa Adamu (binadamu) kuitunza Bustani ya Edeni.

Soma zaidi »