#MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan Ikulu Mawasiliano Ikulu Mawasiliano
Soma zaidi »Maktaba ya Mwaka: 2024
Mwaka huu tumeshuhudia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliokwenda kwa amani na utulivu. Kwa mara ya kwanza, wagombea wasiokuwa na wapinzani walihitajika kuthibitishwa na wananchi kwa kupigiwa kura ya “Ndio” au “Hapana.” Hatua hii imefuta rasmi utaratibu wa kupita bila kupingwa, na ni hatua muhimu katika kuimarisha demokrasia nchini
MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania #MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan Ikulu Mawasiliano Ikulu Mawasiliano
Soma zaidi »Tunawatakia Watanzania Wote Heri ya Mwaka Mpya 2025 Salamu za heri na mafanikio kwa Watanzania wote. Katika mwaka huu mpya, tunataka kila Mtanzania aendelee kufurahia maendeleo, amani, na mshikamano. Tukiwa na umoja, nguvu na nia ya kujenga taifa letu, tunaamini tutapata mafanikio makubwa zaidi katika sekta zote, ikiwa ni pamoja na elimu, afya, uchumi, na miundombinu
Mwaka 2025 ni fursa nyingine ya kuendelea kujenga taifa lenye neema, lenye kujivunia na lililo na ustawi kwa kila mmoja wetu. Heri ya mwaka mpya kwa Watanzania wote, kwa familia zenu na kwa jamii nzima ya Tanzania. #HeriYaMwakaMpya #MatokeoChanya+ #TanzaniaKwanza
Soma zaidi »“LEO DISEMBA 31, 2024 MWISHO MATUMIZI YA KUNI NA MKAA KWA TAASISI ZA UMMA”- MAJALIWA.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa amezikumbusha Taasisi na mashirika yote ya Serikali yaliyopo kote nchini Tanzania ambayo yanahudumia watu zaidi ya 100, kutekeleza bila shuruti agizo lake la kuitangaza Disemba 31, 2024 kuwa siku ya mwisho kwa matumizi ya Mkaa na Kuni kwenye …
Soma zaidi »Nchi yetu imeenda kusimamia utekelezaji wa Falsafa ya R4, inayohimiza Maridhiano, Ustahimilivu, Mageuzi na Kujenga nchi yetu
Vile vile, tunaendeleza uhuru wa habari unaoashiriwa na idadi kubwa ya vyombo vya habari, uhuru wa kujieleza, na uhuru wa kutoa maoni kupitia vyombo mbalimbali; na hata uhuru wa kukusanyika na kujumuika. #MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan Ikulu Mawasiliano Ikulu Mawasiliano
Soma zaidi »RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA WAJUMBE WA KAMATI MAALUM YA CCM ZANZIBAR
Mwenyekiti wa CCM ambae pia ni Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amezungumza na Wajumbe wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar katika kikao kilichoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali …
Soma zaidi »Ongezeko la uchumi wa Tanzania limeleta mabadiliko makubwa katika sekta mbalimbali, lakini tunataka kusikia kutoka kwako! Je, unadhani ongezeko hili linachangia katika kuboresha maisha ya wananchi?
Gusa link hapo chini tuendelee kuelimika zaidi https://matokeochanya.blogspot.com/2024/12/je-ongezeko-la-uchumi-wa-tanzania.html…#MSLAC#Katibanasheria#SSH#CCM#KaziIendelee#Nchiyangukwanza#SisiniTanzania#matokeochanya @samia_suluhu_hassan @IkuluMawasiliano
Soma zaidi »Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo kuhakikisha inaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali ili kuwawezesha mabondia kunufaika na vipaji vyao.
Ametoa Wito huo jana (Alhamisi, Desemba 26, 2024) wakati wa tukio maalum la pambano la ngumi la ‘Knockout ya Mama’ linalofanyika katika ukumbi wa Super Dome, Masaki jijini Dar es Salaam. “Awali michezo hii ilikuwa ni ridhaa, lakini kwasasa tumeweka sheria ambazo zinataka mchezo huu uwe wa kulipwa, ambayo mchezaji …
Soma zaidi »Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza kwa njia ya Simu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan alipopiga simu kuzungumza na wadau na Mashabiki wa mchezo wa ngumi, wakati wa tukio maalum la pambano la ngumi la ‘Knockout ya Mama’ linalofanyika katika ukumbi wa Super Dome, Masaki jijini Dar es Salaam, Desemba 26, 2024
HATUA CHANYA+ ZA MRADI WA MABASI YAENDAYO HARAKA (BRT) NA MATARAJIO YA KUKAMILIKA
Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (BRT) jijini Dar es Salaam umeendelea kupiga hatua muhimu katika kuboresha usafiri wa umma. Hadi sasa, Awamu ya Kwanza imekamilika na inafanya kazi, ikihusisha kilomita 21.1 kutoka Kimara hadi Kivukoni/Morocco/Gerezani, na kuhudumia wastani wa abiria 179,000 kwa siku. Awamu ya Pili, yenye urefu wa kilomita …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+