HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, SHEREHE ZA MIAKA 50 YA UHURU WA JAMHURI YA MSUMBIJI.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameungana na viongozi mbalimbali wa Afrika kushiriki katika sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya Uhuru wa Jamhuri ya Msumbiji zilizofanyika mjini Maputo, tarehe 25 Juni 2025.

Katika tukio hili la kihistoria, Rais Samia ameonesha mshikamano wa kindugu kati ya Tanzania na Msumbiji, nchi ambazo zimekuwa na uhusiano wa kihistoria, kisiasa, kiuchumi na kitamaduni kwa miongo kadhaa. Tazama video hii ujionee mapokezi ya kifahari, hotuba za viongozi, na ushiriki wa Tanzania katika maadhimisho haya muhimu kwa bara la Afrika.

🔔 Usisahau ku-subscribe, kupenda (like), na kushiriki (share) video hii kwa ajili ya kueneza mshikamano wa Afrika!

#SamiaSuluhu #Msumbiji50 #UhuruWaMsumbiji #TanzaniaMozambiqueRelations #DiplomasiaYaTanzania #Maputo2025 #PanAfricanUnity

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *