Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameungana na viongozi mbalimbali wa Afrika kushiriki katika sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya Uhuru wa Jamhuri ya Msumbiji zilizofanyika mjini Maputo, tarehe 25 Juni 2025.
Katika tukio hili la kihistoria, Rais Samia ameonesha mshikamano wa kindugu kati ya Tanzania na Msumbiji, nchi ambazo zimekuwa na uhusiano wa kihistoria, kisiasa, kiuchumi na kitamaduni kwa miongo kadhaa.
🔔 Usisahau ku-subscribe, kupenda (like), na kushiriki (share) video hii kwa ajili ya kueneza mshikamano wa Afrika!
#SamiaSuluhu #Msumbiji50 #UhuruWaMsumbiji #TanzaniaMozambiqueRelations #DiplomasiaYaTanzania #Maputo2025 #PanAfricanUnity
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+