RAIS SAMIA AFURAHIA MAENDELEO NA AMANI

Rais Dkt Samia Suluhu Hassan amefurahi kuona matunda ya hatua kubwa za maendeleo tunazopiga katika sekta mbalimbali, huku tukiendelea kubaki wamoja na wenye amani.

#MatokeochanyA #KaziNaUtuTunasongaMbele #ZiaraYaRaisSimiyu #OKTOBATUNATIKI

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *