Maktaba ya Mwezi: January 2025

SAFARI YA MAENDELEO YA SEKTA YA NISHATI TANZANIA, KUTOKA 1963 HADI 2025

Tangu uhuru mwaka 1963, sekta ya nishati imekuwa mojawapo ya vichocheo vikubwa vya maendeleo ya Tanzania. Awali, nchi ilitegemea kuni, mkaa, na mafuta ya taa kama vyanzo vikuu vya nishati. Hata hivyo, hatua muhimu zimechukuliwa kufanikisha maendeleo ya sekta hii: 1. 1963-1980,Serikali ilianza uwekezaji katika miradi ya umeme wa maji, …

Soma zaidi »

“KIGOMA – TUMETUNZA FRIJI ZETU KWENYE STORE, NA TUNAKULA VYAKULA FRESH KABISA, HII NI FAHARI KWETU”

Mbali na uhifadhi wa kisasa, Kigoma imeendelea kuwa kitovu cha biashara zinazochangia uchumi wa eneo hili. Soko la vyakula safi limeimarika, likihusisha biashara za ndani na zile za nje ya mkoa. Wajasiriamali wengi wanazidi kuwekeza katika sekta hii, huku wakifurahia ongezeko la wateja wanaothamini bidhaa zenye ubora wa hali ya …

Soma zaidi »

SEKTA YA MIFUGO NA UVUVI YAPAA, UCHUMI WA TANZANIA WAZIDI KUNUFAIKA!

Sekta ya mifugo na uvuvi ni nguzo muhimu ya uchumi wa Tanzania. Idadi ya mifugo imeongezeka, ikiwemo ng’ombe milioni 35, huku ujenzi wa machinjio na viwanda vya maziwa ukiongeza thamani. Uvuvi umeimarika kupitia mabwawa na uvuvi wa kisasa, na serikali imewekeza kwenye bandari na masoko ya samaki. Hatua hizi zimeongeza …

Soma zaidi »

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imeipongeza Serikali ya Awamu ya Sita kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) kwa usimamizi mzuri wa Ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Msalato kilichopo jijini Dodoma

Hayo yamesemwa na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali Mhe. Japhet Hasunga baada ya kutembelea na kukagua mradi huo pamoja na wajumbe wa kamati hiyo leo tarehe 23 Januari 2025. Hasunga ameitaka TANROADS kuhakikisha wanasimamia ujenzi wa miundombinu ya kiwanja hicho ili kuweza kukamilika …

Soma zaidi »

WAZIRI NDUMBARO: KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA YAWAFIKIA WATANZANIA 775,119

Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro, amesema kuwa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia inayoendelea kutekelezwa nchini imefanikiwa kuwafikia Watanzania 775,119 kutoka mikoa 11 hadi kufikia tarehe 24 Januari 2025. Kampeni hii inalenga kuwasaidia wananchi kupata elimu na msaada wa kisheria ili kutatua changamoto mbalimbali …

Soma zaidi »

TANZANIA YAINUA BAJETI YA KILIMO HADI TRILIONI 1.3 WAKATI DUNIA IKIKABILIWA NA CHANGAMOTO ZA MAVUNO!

Sekta ya kilimo nchini Tanzania inaendelea kupewa kipaumbele na serikali kwa ajili ya kukuza uchumi na kuongeza ajira. Bajeti ya Wizara ya Kilimo imeongezeka kutoka shilingi bilioni 294 mwaka wa fedha 2021/2022 hadi shilingi trilioni 1.3 mwaka wa fedha 2024/2025, ikionyesha dhamira ya serikali katika kuimarisha sekta hii muhimu. Kwa …

Soma zaidi »