Katika Mkutano huo, Mhe. Rais Dkt. Samia alishiriki pamoja na Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Hakainde Hichilema sambamba na Rais wa Jamhuri ya Malawi Mhe. Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera. Aidha, Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe. …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: January 29, 2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Shirikisho la Jamhuri ya Somalia Mhe. Dkt. Hassan Sheikh Mohamud leo kwenye makazi yake Ikulu, Jijini Dar es salaam leo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akikagua mabanda ya maonesho ya wadau wa sekta ya maji nje ya Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City mkoani Dar es Salaam kabla ya kufungua Kongamano la Nne la Kimataifa la Kisayansi la Maji linalofanyika kwa siku tatu kuanzia Jumatano Januari 29, 2025 mpaka Ijumaa Januari 31, 2025
MELEFU WAJITOKEZA KUPATA ELIMU NA MSAADA WA KISHERIA UZINDUZI MSLAC MKOA WA 17 WA KILIMANJARO TAREHE 29/1/2025
Kampeni ya Samia Legal Aid Campaign (MSLAC) imepiga hatua kubwa tangu ilipoanzishwa, na uzinduzi wa mkoa wa 17 Kilimanjaro mnamo 29 Januari 2025 ni uthibitisho wa mafanikio yake katika kuenea kitaifa. Hapa ni tathmini ya maendeleo ya kampeni hii tangu kuanzishwa kwake: 1. Ufanisi wa Kampeni Hadi Sasa – MSLAC …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+