Maktaba ya Kila Siku: January 3, 2025

SP DKT. EZEKIEL KYOGO ATOA SOMO LA AMANI KWA MAELFU YA WATANZANIA USIKU WA MWAKA MPYA

Mrakibu wa Polisi SP Dkt. Ezekiel Kyogo akitoa elimu kuhusu umuhimu wa amani na utulivu kwa Maelfu ya waumini wa kanisa la Arise and Shine walikusanyika katika viwanja vya Tanganyika Packers vilivyopo Kawe jijini Dar es Salaam, usiku wa kuamkia Januari 1, 2025.

Soma zaidi »

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetenga zaidi ya shilingi bilioni 250 katika mwaka wa fedha 2024/25 kwa ajili ya ununuzi wa vifaa na vifaa tiba kwa vituo vyote vya kutolea huduma za afya ya msingi katika Halmashauri zote 184 nchini

Taarifa hii imetolewa bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri Ofisi ya Rais – TAMISEMI anayeshughulikia Afya, Mheshimiwa Dkt. Festo Dugange, wakati akijibu swali la Mheshimiwa Dkt. Pius Chaya, Mbunge wa Jimbo la Manyoni Mashariki. Dkt. Chaya alitaka kufahamu mpango wa Serikali wa kupeleka jokofu la kuhifadhia maiti katika Kituo cha …

Soma zaidi »

SERIKALI YATENGA SHILINGI BILIONI 29.5 KWA MIRADI YA UKARABATI WA BARABARA MKOANI PWANI

Serikali imetenga jumla ya shilingi bilioni 29.5 kwa ajili ya kugharamia miradi ya ukarabati na ujenzi wa barabara mkoani Pwani. Hayo yameelezwa na Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Pwani, Mhandisi Baraka Mwambage, wakati wa kikao cha bodi ya barabara kilichofanyika wilayani Kibaha jana. Mhandisi Mwambage alisema …

Soma zaidi »

Je, ni mikakati gani inayoweza kutekelezwa ili kuhakikisha ongezeko endelevu la thamani ya mauzo ya kahawa ya Tanzania nje ya nchi, huku ikizingatiwa changamoto za mabadiliko ya viwango vya ubadilishaji fedha na ushindani wa kimataifa?

#MSLAC#Katibanasheria#SSH#CCM#KaziIendelee#Nchiyangukwanza#SisiniTanzania#matokeochanya @SuluhuSamia @matokeochanya @sisiniTanzania @KassimMajaliwa_ @dr_mpango

Soma zaidi »

TRA Yavunja Rekodi: Yakusanya Trilioni 16.528 Kwa Kipindi cha Miezi Sita Julai – Desemba 2024

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imefanikiwa kuvunja rekodi ya makusanyo ya mapato nchini kwa kukusanya kiasi cha TZS trilioni 16.528 ndani ya kipindi cha miezi sita kuanzia Julai hadi Desemba 2024. Hii ni hatua muhimu inayodhihirisha juhudi madhubuti za serikali katika kuongeza mapato ya ndani na kuboresha mifumo ya ukusanyaji …

Soma zaidi »