Mazungumzo hayo yalifanyika kando ya Mkutano waNishati wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Afrika unaofanyikakatika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC)
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: January 28, 2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Wakuu wa Nchi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Masuala Nishati
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan ashiriki na kuhutubia mkutano wa Wakuu wa nchi za Afrika kuhusu masuala ya Nishati
Mkutano huo unaofanyika katika kituo cha mikutano cha kimataifa cha JNICC jijini Dar es salaam tarehe 28 Januari 2025
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+