Mbali na uhifadhi wa kisasa, Kigoma imeendelea kuwa kitovu cha biashara zinazochangia uchumi wa eneo hili. Soko la vyakula safi limeimarika, likihusisha biashara za ndani na zile za nje ya mkoa. Wajasiriamali wengi wanazidi kuwekeza katika sekta hii, huku wakifurahia ongezeko la wateja wanaothamini bidhaa zenye ubora wa hali ya …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: January 24, 2025
SEKTA YA MIFUGO NA UVUVI YAPAA, UCHUMI WA TANZANIA WAZIDI KUNUFAIKA!
Sekta ya mifugo na uvuvi ni nguzo muhimu ya uchumi wa Tanzania. Idadi ya mifugo imeongezeka, ikiwemo ng’ombe milioni 35, huku ujenzi wa machinjio na viwanda vya maziwa ukiongeza thamani. Uvuvi umeimarika kupitia mabwawa na uvuvi wa kisasa, na serikali imewekeza kwenye bandari na masoko ya samaki. Hatua hizi zimeongeza …
Soma zaidi »Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imeipongeza Serikali ya Awamu ya Sita kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) kwa usimamizi mzuri wa Ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Msalato kilichopo jijini Dodoma
Hayo yamesemwa na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali Mhe. Japhet Hasunga baada ya kutembelea na kukagua mradi huo pamoja na wajumbe wa kamati hiyo leo tarehe 23 Januari 2025. Hasunga ameitaka TANROADS kuhakikisha wanasimamia ujenzi wa miundombinu ya kiwanja hicho ili kuweza kukamilika …
Soma zaidi »WAZIRI NDUMBARO: KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA YAWAFIKIA WATANZANIA 775,119
Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro, amesema kuwa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia inayoendelea kutekelezwa nchini imefanikiwa kuwafikia Watanzania 775,119 kutoka mikoa 11 hadi kufikia tarehe 24 Januari 2025. Kampeni hii inalenga kuwasaidia wananchi kupata elimu na msaada wa kisheria ili kutatua changamoto mbalimbali …
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikabidhi Tuzo ya mlipa kodi binafsi mwenye hadhi ya juu, Mmiliki wa Kampuni za Bakhresa Group, Said Salim Bakhresa kwenye hafla iliyofanyika Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 23 Januari, 2025
Mama katika tuzo ya mlipa kodi bora Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye hafla ya Tuzo za Mlipakodi Bora wa mwaka 2023/24 katika ukumbi wa The Super Dome, Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 23 Januari, 2025
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+