SEKTA YA MIFUGO NA UVUVI YAPAA, UCHUMI WA TANZANIA WAZIDI KUNUFAIKA!

Sekta ya mifugo na uvuvi ni nguzo muhimu ya uchumi wa Tanzania. Idadi ya mifugo imeongezeka, ikiwemo ng’ombe milioni 35, huku ujenzi wa machinjio na viwanda vya maziwa ukiongeza thamani. Uvuvi umeimarika kupitia mabwawa na uvuvi wa kisasa, na serikali imewekeza kwenye bandari na masoko ya samaki. Hatua hizi zimeongeza ajira, kipato, na uhakika wa chakula.

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *