Mwaka huu tumeshuhudia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliokwenda kwa amani na utulivu. Kwa mara ya kwanza, wagombea wasiokuwa na wapinzani walihitajika kuthibitishwa na wananchi kwa kupigiwa kura ya “Ndio” au “Hapana.” Hatua hii imefuta rasmi utaratibu wa kupita bila kupingwa, na ni hatua muhimu katika kuimarisha demokrasia nchini

MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania #MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan Ikulu Mawasiliano Ikulu Mawasiliano

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *