
Mwenyekiti wa CCM ambae pia ni Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amezungumza na Wajumbe wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar katika kikao kilichoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi.
Kikao hicho kimehudhuriwa na Sekretarieti ya CCM ikiongozwa na Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi.

Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+