Uzinduzi huu ni hatua muhimu katika kutekeleza misingi ya Katiba ya Tanzania, hasa katika kuhakikisha haki, usawa, na uwajibikaji wa kisheria

Kampeni hii si tu inaleta msaada wa kisheria bali pia inaimarisha misingi ya demokrasia na utawala bora nchini Tanzania.

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *