Kampeni hii inalenga kutoa elimu na huduma za msaada wa kisheria kwa wananchi wote, hususan makundi yenye uhitaji kama wanawake, vijana, wazee, na watu wenye ulemavu.
#MamaSamiaLegalAid #KassimMajaliwa #MsaadaWaKisheria