Maktaba ya Mwezi: August 2025
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Ndugu Kailima R.K, amefunga kikao cha siku mbili cha Tume na Vyama vya Siasa 18 vyenye usajili kamili na ambavyo vimependekeza wagombea wa kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Makamu wa Rais. Kikao hicho kiliitishwa kwa lengo la kujadili na kupanga kwa pamoja ratiba ya kampeni za vyama hivyo
Kikao hicho kilichoketi Agosti 25 na 26, 2025 kilishirikisha vyama vya Civic United Front (CUF), National Convention for Construction and Reform (NCCR-Mageuzi), Union for Multiparty Democracy (UMD), Chama cha Mapinduzi (CCM), National League for Democracy (NLD), United Peoples’ Democratic Party (UPDP) na National Reconstruction Alliance (NRA), African Democratic Alliance Party …
Soma zaidi »MHE. RAIS DKT. SAMIA AKISHIRIKI KONGAMANO LA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akishiriki Kongamano la Amani Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es Salaam, leo 24 Agosti, 2025.
Soma zaidi »DKT. SAMIA AANZA RASMI SAFARI YA UCHAGUZI – ACHUKUA FOMU NEC KWA USHINDI WA CCM
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan, amechukua rasmi fomu ya uteuzi katika Tume Huru ya Uchaguzi, kuashiria mwanzo wa safari ya uchaguzi kwa chama tawala. Tukio hili limehudhuriwa na viongozi waandamizi wa CCM, wafuasi, na wananchi …
Soma zaidi »MHE. RAIS DKT. SAMIA AKISHIRIKI KONGAMANO LA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akishiriki Kongamano la Amani Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es Salaam, leo 24 Agosti, 2025.
Soma zaidi »WHEN THE POWER OF LOVE OVERCOMES LOVE OF POWER TATIZO LINAKUWEPO – RAIS . DKT. SAMIA
🇹🇿 Tanzania yenye amani ni Tanzania yenye maendeleo. 👉 Chagua njia za amani, changia mshikamano wa taifa letu. #Amani #Utulivu #Tanzania #Peace #unity
Soma zaidi »TUMETENGENEZA UTAMADUNI WA DEMOKRASIA YA UCHAGUZI NI KUTUNZA AMANI KABLA NA BAADA YA UCHAGUZI.
“Tumetengeneza utamaduni wa demokrasia ya uchaguzi, na sehemu ya utamaduni huo ni kutunza amani kabla na baada ya uchaguzi.” – Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Ujumbe huu unasisitiza thamani ya demokrasia tuliyoijenga kama taifa. Uchaguzi siyo tu kura, bali pia ni utamaduni wa kuheshimiana, mshikamano na kulinda amani ya nchi …
Soma zaidi »TUNAPOKUSANYA KUOMBA , MUNGU ATAPOKEA SWALA ZETU, DUA ZETU IKIWA NYOYO ZETU ZINA AMANI – RAIS. SAMIA
“Tunapokusanyika kwa pamoja kuomba, Mungu hupokea sala zetu na dua zetu pale mioyo yetu inapokuwa na amani.” – Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Ujumbe huu unatufundisha kuwa maombi yenye nguvu yanatoka kwenye nyoyo tulivu, zenye upendo na mshikamano. Amani ndani yetu hutengeneza njia ya maombi kupokelewa kwa baraka tele. Huu …
Soma zaidi »NCHI YETU KWANZA NA SISI BINAFSI ZETU BAADAE – MHE. RAIS . DKT. SAMIA SULUHU HASSAN
🇹🇿 Tanzania yenye amani ni Tanzania yenye maendeleo. 👉 Chagua njia za amani, changia mshikamano wa taifa letu. #Amani #Utulivu #Tanzania #Peace #Unity
Soma zaidi »KIPINDI CHA UCHAGUZI UPANDISHA JOTO LA KISIASA NCHINI – RAIS .DKT. SAMIA
🇹🇿 Tanzania yenye amani ni Tanzania yenye maendeleo. 👉 Chagua njia za amani, changia mshikamano wa taifa letu. #Amani #Utulivu #Tanzania #Peace #Unity
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+