Maktaba ya Kila Siku: August 23, 2025

UTEUZI WA WANACHAMA WA CCM WATAKAOGOMBEA NAFASI ZA UBUNGE NA UJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI KWA MAJIMBO NA VITI MAALUM

Chama Cha Mapinduzi (CCM), kinapenda kuwajulisha wanachama wake na umma wa Watanzania kuwa, Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) katika kikao chake cha tarehe 23 Agosti, 2025 imefikira na kufanya uteuzi wa mwisho wa majina ya wanachama wanaoomba nafasi za Ubunge na majina ya wanachama wanaoomba nafasi ya Ujumbe wa …

Soma zaidi »

SERIKALI YAREJESHA TABASAMU KWA CHIDI BENZ

SERIKALI ya Awamu ya Sita kupitia Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya #DCEA imefanikiwa kumtibu bure rapa wa muziki wa hip hop nchini, Rashidi Abdallah Mohamed Makwiro (Chid Benz) ambaye kwa miaka kadhaa alitumbukia kwenye uraibu wa dawa za kulevya, hivyo kudhoofika kiafya na kushindwa kutekeleza majukumu …

Soma zaidi »