Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akionesha Begi lenye Fomu zake za kugombea nafasi hiyo mara baada ya kukabidhiwa na Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Dodoma.
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: August 9, 2025
DCEA YATUMIA NANENANE KUTOA ELIMU KWA JAMII NA KUHAMASISHA KILIMO CHA MAZAO MBADALA
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imeshiriki katika Maonesho ya Nanenane kwa lengo la kutoa elimu kwa wananchi juu ya madhara ya matumizi ya dawa za kulevya na kuwahamasisha kushiriki katika shughuli halali za uzalishaji mali, hususan kilimo, ufugaji na uvuvi. Kamishina Jenerali wa DCEA, Aretas …
Soma zaidi »SHEREHE ZA UFUNGAJI RASMI WA MAONESHO YA 49 SABASABA | WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA
Mgeni rasmi, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, ameongoza sherehe ya kufunga rasmi Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (SABASABA), yaliyofanyika kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere, Sabasaba – Barabara ya Kilwa. Katika hotuba yake, Waziri Mkuu amesisitiza umuhimu wa maonesho …
Soma zaidi »DKT. SAMIA AANZA RASMI SAFARI YA UCHAGUZI – ACHUKUA FOMU NEC KWA USHINDI WA CCM
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan, amechukua rasmi fomu ya uteuzi katika Tume Huru ya Uchaguzi, kuashiria mwanzo wa safari ya uchaguzi kwa chama tawala. Tukio hili limehudhuriwa na viongozi waandamizi wa CCM, wafuasi, na wananchi …
Soma zaidi »KUNA JAMBO LA KUJIVUNIA TANZANIA UKIFIKA KATIKA MAONESHO YA KILIMO NANE NANE NZUGUNI DODOMA
Kilimo ni shughuli ya uzalishaji wa mazao ya chakula, biashara na malisho kwa kutumia ardhi, mbolea, maji, nguvu kazi, teknolojia na maarifa. Kilimo pia hujumuisha ufugaji wa wanyama, uvuvi, na shughuli nyingine za kuongeza thamani kama usindikaji wa mazao na uhifadhi. #mazingira #samiasuluhuhassan😍❤🇹🇿 #VPO #sisinitanzania #ikulumawasiliano #nemctanzania @nemctanzania
Soma zaidi »DCEA INAJUKUMU LA KUDHIBITI DAWA ZOTE ZA KULEVYA TANZANIA
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) ni chombo cha serikali chenye jukumu la kusimamia, kudhibiti na kupambana na matumizi, biashara na usambazaji wa dawa zote za kulevya ambazo ni haramu nchini. DCEA hufanya kazi ya kuzuia uingizaji na utengenezaji wa dawa hizi, kuteketeza mashamba ya mimea …
Soma zaidi »MAMLAKA YA KUDHIBITI NA KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA TUPO NANE NANE DODOMA
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) inashiriki kikamilifu katika Maonesho ya Nanenane yanayofanyika jijini Dodoma. Unapofika kwenye lango kuu la kuingilia viwanja vya maonesho, takribani mita 100 upande wa kushoto, utaliona banda la Ofisi ya Waziri Mkuu likiwa na maonyesho ya kipekee kutoka DCEA. Karibu ulitembelee …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+