#katibanasheria #MSLAC #sisiniTanzania #Nchiyangukwanza #TanzaniaNiwajibuwetu #Nchiyetufahariyetu #tanzania #SSH #kazinaututunasongambele #HakiKwaWote #ElimuYaSheria #WizaraYaKatibaNaSheria
Soma zaidi »Maktaba ya Mwezi: August 2025
Upendo kwa Taifa letu hutufanya Kuwa wazalendo wa kweli…….
#katibanasheria #MSLAC #sisiniTanzania #Nchiyangukwanza #TanzaniaNiwajibuwetu #Nchiyetufahariyetu #tanzania #SSH #kazinaututunasongambele #HakiKwaWote #ElimuYaSheria #WizaraYaKatibaNaSheria
Soma zaidi »TANZANIA YETU
#SisiniTanzania#MSLAC#Kazinaututunasongambele#siondototena @ikulumawasliano
Soma zaidi »MAENDELEO YANAKUJA KWA KUFANYA KAZI – DKT. BITEKO
“Tangu kuanza kwa mradi wa EACOP mwaka 2022 hadi sasa, jumla ya Watanzania 9,194 wamepata nafasi za kufanya kazi ndani ya mradi na hivyo kuwa fursa kwao ya kujipatia kipato, mwaka 2024 kampuni ilitoa mafunzo maalumu kwa Vijana 170 na kuwapatia kazi kwenye mradi, Vijana wengine 110 wapo katika masomo …
Soma zaidi »NEMC YAELEZA UMUHIMU WA KUFANYA TATHMINI YA ATHARI KWA MAZINGIRA KATIKA MIRADI YA KILIMO
MHE. RAIS DKT. SAMIA AKIWAVISHA NISHANI YA BARAZA LA MICHEZO YA MAJESHI DUNIANI CISM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akiwavisha Nishani Baraza la Michezo ya Majeshi Duniani CISM Ikulu Dar es Salaam, leo tarehe 14 Agosti, 2025.
Soma zaidi »MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN ATUNUKIWA NISHANI YA HESHIMA NA CISM 🇹🇿🏅
Katika hafla ya kipekee, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametunukiwa Nishani ya Baraza la Michezo ya Majeshi Duniani (CISM) kama kutambua mchango wake mkubwa katika kuimarisha michezo ya kijeshi, diplomasia ya kimataifa na mshikamano wa amani kupitia michezo. Tazama tukio hili la kihistoria …
Soma zaidi »ONA JINSI TANI 18 4 YA SHEHENA YA DAWA MPYA YA KULEVYA NA WATUHUMIWA WALIVYOKAMATWA DAR ES SALAAM
MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imekamata shehena ya dawa mpya ya kulevya aina ya mitragyna speciosa mifuko 756 yenye uzito wa jumla ya kilogramu 18,485.6 sawa na tani 18.5 iliyokuwa ikiingizwa nchini kama mbolea. Hayo yamesemwa leo Agosti 13,2025 na Kamishna Jenerali wa DCEA, Aretas …
Soma zaidi »DCEA NA ITV WAWEKA MIKAKATI YA USHIRIKIANO DHIDI YA DAWA ZA KULEVYA
Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo, amefanya ziara maalum katika ofisi za ITV zilizopo Mikocheni, jijini Dar es Salaam. Ziara hiyo ililenga kuimarisha ushirikiano kati ya Mamlaka na kituo hicho cha habari katika juhudi za kuhabarisha na kuelimisha umma juu ya …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+