Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Mgombea Urais wa Tanzania kwa Uchaguzi Mkuu wa 2025, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezindua rasmi kampeni za CCM kupitia tiketi ya chama hicho leo tarehe 28 Agosti 2025, katika Viwanja vya Tanganyika Peckers, Kawe β Dar es Salaam. Katika uzinduzi huu, …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: August 28, 2025
DKT. SAMIA AANZA RASMI SAFARI YA UCHAGUZI β ACHUKUA FOMU NEC KWA USHINDI WA CCM
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan, amechukua rasmi fomu ya uteuzi katika Tume Huru ya Uchaguzi, kuashiria mwanzo wa safari ya uchaguzi kwa chama tawala. Tukio hili limehudhuriwa na viongozi waandamizi wa CCM, wafuasi, na wananchi …
Soma zaidi »UCHAGUZI 2025
1. Haki na Wajibu wa Kisiasa kwa Mujibu wa Katiba Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 (kama ilivyorekebishwa) inatambua na kulinda: Haki ya kushiriki shughuli za kisiasa (Ibara ya 20 na 21), ikiwemo kujiunga na chama cha siasa na kushiriki mikutano ya kampeni. Uhuru wa mawazo …
Soma zaidi »FOMU ZIKIBANDULIWA
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Ndg. Ramadhani Kailima (kulia) ameongoza watumishi wa Tume kuondoa fomu za uteuzi wa wagombea wa kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika ubao wa matangazo wa Tume ikiwa zimepita saa 24Β zaΒ kubandikwa fomu hizo ikiwa ni …
Soma zaidi »Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhwan Jakaya Kikwete (Mb), ametoa hotuba muhimu, Agosti 27, 2025, Dar es Salaamu JengO la Nsssf ,Wakati wa ziara ya Mheshimiwa GembΓ‘ Koichiro, Makamu Spika wa Baraza la Wawakilishi la Japan, na ujumbe wake
Hotuba hiyo ililenga kuimarisha uhusiano wa muda mrefu kati ya nchi hizo mbili na kusisitiza umuhimu wa kuwekeza katika maendeleo ya rasilimali watu, hasa vijana. Mhe. Kikwete alieleza kuwa Tanzania imeendelea kuwa na ukuaji thabiti wa uchumi, lakini ili kufungua kikamilifu uwezo wake, ni lazima kuwa na kipaumbele katika maendeleo …
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Tabora, Kardinali Protase Rugambwa, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma, tarehe 27 Agosti, 2025.
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imemteua Mhe. Mhe. Majalio Paul Kyara kugombea Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mhe. Satia Mussa Bebwa kugombea Kiti cha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Sauti ya Umma (SAU)
Hafla hiyo ya uteuzi iliyofanyika kwenye Ofisi za Tume zilizopo Njedengwa, jijini Dodoma tarehe 27 Agosti, 2025 imeongozwa na Mwenyekiti wa Tume, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Jacobs Mwambegele. #KurayakoHakiyakoJitokezeKupigaKura #uchaguzi2025 #uchaguzi #tumehuruyataifayauchaguzi #uchaguzimkuu
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+