Maktaba ya Kila Siku: August 14, 2025

MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN ATUNUKIWA NISHANI YA HESHIMA NA CISM πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ…

Katika hafla ya kipekee, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametunukiwa Nishani ya Baraza la Michezo ya Majeshi Duniani (CISM) kama kutambua mchango wake mkubwa katika kuimarisha michezo ya kijeshi, diplomasia ya kimataifa na mshikamano wa amani kupitia michezo. Tazama tukio hili la kihistoria …

Soma zaidi »

ONA JINSI TANI 18 4 YA SHEHENA YA DAWA MPYA YA KULEVYA NA WATUHUMIWA WALIVYOKAMATWA DAR ES SALAAM

MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imekamata shehena ya dawa mpya ya kulevya aina ya mitragyna speciosa mifuko 756 yenye uzito wa jumla ya kilogramu 18,485.6 sawa na tani 18.5 iliyokuwa ikiingizwa nchini kama mbolea. Hayo yamesemwa leo Agosti 13,2025 na Kamishna Jenerali wa DCEA, Aretas …

Soma zaidi »