TATHMINI YA HOTUBA YA MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKIVUNJA BUNGE JIJINI DODOMA โ€“ 2025 ๐Ÿ›๏ธ

Katika video hii tunakuletea uchambuzi wa kina na tathmini ya hotuba ya kihistoria iliyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, wakati wa kulivunja Bunge la 12 jijini Dodoma.

Rais Samia amegusia mafanikio ya serikali ya awamu ya sita, changamoto zilizokumbwa, na dira ya maendeleo kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Hotuba hii imejaa hekima, dira, na wito kwa Watanzania kuendelea kushikamana katika kulijenga taifa.

๐Ÿ” Yaliyojiri katika hotuba:

Tathmini ya kazi ya Bunge Mafanikio ya miaka mitano Mwelekeo wa kisiasa kuelekea uchaguzi Wito kwa Watanzania kuhusu amani na mshikamano

๐Ÿ“Œ Tazama, toa maoni, na usisahau ku-subscribe kwa ajili ya mijadala zaidi ya kisiasa, maendeleo, na mustakabali wa Tanzania!

#RaisSamia #Bunge2025 #Uchaguzi2025 #Tanzania #HotubaYaRais #SamiaSuluhu #Dodoma #TathminiYaHotuba #BungeLa12

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *