Watanzania mbalimbali waishio nchini Nigeria wakimpokea Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango wakati alipowasili Abuja nchini Nigeria kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa 32 wa Benki ya Afrexim utaokaofanyika tarehe 25-27 Juni 2025

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *