Uzinduzi wa Kiwanda cha kuchakata pamba cha Meatu

Uzinduzi wa Kiwanda cha kuchakata pamba cha Biosustain Meatu kinaongeza thamani ya pamba, Kuongeza kipato cha wakulima, Kutengeneza ajira, Kuimarisha kilimo endelevu, Kupunguza umasikini na kulinda mazingira.

Pia Kinaendeleza sekta ya pamba kwa kutoa mafunzo na mbegu bora.

Unaweza kuangalia pia

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameiagiza Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) kuendeleza juhudi za kutafuta masoko ya nje ili kuongeza mauzo yatakayowezesha nchi kupata fedha za Kigeni.

Amesema kuwa TanTrade inapaswa kufanya tafiti za uhakika na uchambuzi wa masoko ambayo bidhaa za …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *