“Tumetengeneza utamaduni wa demokrasia ya uchaguzi, na sehemu ya utamaduni huo ni kutunza amani kabla na baada ya uchaguzi.” – Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Ujumbe huu unasisitiza thamani ya demokrasia tuliyoijenga kama taifa. Uchaguzi siyo tu kura, bali pia ni utamaduni wa kuheshimiana, mshikamano na kulinda amani ya nchi yetu. Amani kabla na baada ya uchaguzi ndiyo msingi wa maendeleo na mshikikano wa kijamii. 🇹🇿 Huu ni mwito kwa kila Mtanzania kushiriki uchaguzi kwa amani, kulinda utu na kuendeleza heshima ya taifa letu.
#Demokrasia #Uchaguzi #Amani #Tanzania #RaisSamia#SisiniTanzania #nchiyangukwanza #TanzaniaNiwajibuwetu #Nchiyetufahariyetu #tanzania #SSH #kazinaututunasongambele #matokeochanya #SioNdotoTena #HakiKwaWote #TanzaniaMoja
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+