Mama yetu, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameandika historia nyingine kwa kukamilisha na uzinduzi wake rasmi leo ambapo Daraja la Busisi moja ya miundombinu mikubwa na ya kihistoria nchini Tanzania.
Daraja hili linaunganisha mikoa ya Mwanza na Geita kupitia Ziwa Victoria, likiwa na urefu wa zaidi ya kilomita 3.2, na hivyo kuwa miongoni mwa madaraja marefu zaidi Afrika Mashariki.
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+