๐Ÿ”ด LIVE: KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA KUPIGA VITA DAWA ZA KULEVYA.

Karibu uungane nasi mubashara leo tarehe 26 Juni, 2025, moja kwa moja kutoka Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre, Dodoma, kushuhudia Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kupiga Vita Matumizi na Biashara ya Dawa za Kulevya.

Maadhimisho haya yanafanyika kwa lengo la kuelimisha na kuhamasisha jamii kushiriki kikamilifu katika mapambano dhidi ya dawa za kulevya, huku yakibeba ujumbe mzito kwa vijana, wazazi, serikali na wadau wa maendeleo.

Mgeni Rasmi:

๐ŸŽ™๏ธ Mhe.Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kauli mbiu ya mwaka huu:

๐Ÿ›ก๏ธ “Wekeza kwenye Kinga na Tiba Dhidi ya Dawa za Kulevya”

โœจ Usikose fursa hii ya kipekee ya kujifunza, kuhamasika na kuwa sehemu ya mabadiliko.

๐Ÿ‘‰ SUBSCRIBE, LIKE na SHARE ili ujumbe huu uweze kuwafikia Watanzania wote!

#StopDrugs #RaisSamia #SikuYaKimataifa #Tanzania2025 #KinganaTiba #AfyaKwanza #DodomaLive

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *