MICHEZO NI KINGA YA KUJIINGIZA KWENYE MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA, VIJANA TUSHIRIKI MICHEZO

Katika fainali ya mpira wa miguu iliyofanyika kwenye Viwanja vya Chuo Kikuu cha Mtakatifu John, timu ya Wagoloko FC iliibuka kidedea kwa kuifunga Mwaise FC mabao 2–0, mbele ya mamia ya mashabiki waliokuwa wakishangilia kwa hamasa kubwa. Kamishna Lyimo amesema tukio hilo limekuwa zaidi ya mchezo; limekuwa darasa la mshikamano, nidhamu na mapambano ya pamoja dhidi ya dawa za kulevya.

Unaweza kuangalia pia

🔴 LIVE: SAMIA SULUHU HASSAN AINGIA KWA KISHINDO MBEYA – MBALIZI

Rais Samia Suluhu Hassan amewasili Mbalizi, Mbeya, kwa kishindo kikubwa akipokelewa na umati wa wananchi …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *