tarehe 20 Juni, 2025, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefungua rasmi Mradi wa Maji wa Butimba jijini Mwanza na kuzungumza moja kwa moja na wananchi waliokusanyika kwa shangwe na matumaini makubwa. Mradi huu wa kimkakati unalenga kuboresha upatikanaji wa maji safi na salama kwa maelfu ya wakazi wa Butimba na maeneo jirani, ikiwa ni sehemu ya juhudi za serikali katika kuhakikisha huduma bora za kijamii zinawafikia Watanzania wote.
Katika hotuba yake, Rais Samia amesisitiza dhamira ya serikali kuendeleza miradi ya maendeleo yenye kugusa maisha ya kila mwananchi. Tazama video hii hadi mwisho ujionee mapokezi makubwa ya wananchi, hotuba yenye matumaini ya Mama Samia, na mafanikio halisi ya Serikali ya Awamu ya Sita.
🔔 Usisahau kusubscribe, kupenda (like), na kushirikisha video hii kwa wengine. Tanzania ya Viwanda na Maendeleo Inawezekana!
#RaisSamia #MradiWaMajiButimba #MaendeleoKwaWote #SamiaSuluhu #MajiNiUhai #TanzaniaYaMapinduzi
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+