Rais Dkt, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais Mstaafu Dkt Jakaya Kikwete alipotembelea na kukagua Mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Mzunguko wa Nje Dodoma (Outer Ring Road) yenye urefu wa Km 112.3 kutoka Mtumba – Veyula – Msalato wakati wa ziara yake Mkoani humo Juni 14,2025.
MatokeoChanya
June 14, 2025
CCM, Matokeo ChanyA+, RAIS SAMIA SULUHU HASSAN, Tanzania, Tanzania MpyA+
239 Imeonekana